TI KUTUA LEADERS CLUB FIESTA 2014(SAMBAZA UPENDO)
Akitangazwa kupitia kipindi cha XXL akiwepo Fetty na B12, watangazaji
hao walihesabu kuanzia 10 mpaka 0 ilimradi tu kuwapa kiraruraru
wasikilizaji wao na mwisho wa siku wakamtangaza msanii wa kimataifa T.I
kutoka Marekani kuwa ndie atakaefanya makamuzi ndani ya Serengeti Fiesta
2014, itakayofanyika tarehe 18 October 2014 kwenye viwanja vya Leaders
Club
Hakuna maoni:
Chapisha Maoni